carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
eeenheeeeDarlin' stay with me....
Ha wa yuu numby😆eeenheeee
Weekend hii💃fine kabisa.mzima?
#mashairimatamu
Huku hatujambo carba,kila kitu kipo sawaWaleykum salaam nige,nashukuru Mungu kwakweli.
Habari yako na wapendwa wako
Numby namuaminia sana mambo hayo[emoji23][emoji23]
#daladalanimemkumbukaKD
#irudiweirudiwe
Movie nzuri hii,wala haina mambo mengi,ilinisikitisha ilivyoishaQueen and slim[emoji440]
Numby hajawahi niangusha.Huku hatujambo carba,kila kitu kipo sawa
Numby hanaga kazi mbovu[emoji119][emoji23][emoji23]
#ilesurayakagame
#nmeimiss
Kule mwishon nilihisi kama kuna kitu kimenikaba nashindwa kupumua😭😭Movie nzuri hii,wala haina mambo mengi,ilinisikitisha ilivyoisha