Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaNi kweli kuwa matunda na mboga vina manufaa makubwa kwa ajili ya macho yetu pamoja na mwili mzima kwa ujumla
Kweli kabisa..Tafiti: Kulala kidogo ukiwa kazini inaweza kusaidia kuongeza utendaji maradufu zaidi.
Iko poa mkuu.. Hizo masiku nimekuwa nikiwafuatilia pole pole 2.Mkuu za masiku, habari za huko +245
Binti mpole hii ni tafiti piaNyanya na kitunguu ndio wapenzi walio dumu kwa muda mrefu
SawasawaMatunda jamii ya mchungwa na zabibu
Matunda kama vile malimao, machenza, machungwa na zabibu yamesheheni vitamini C. Hivyo yatakuwezesha macho yako kujikinga na magonjwa kama vile mtoto wa jicho pamoja na kudhoofu kwa misuli ya macho.
ndio😂😂😂😂Binti mpole hii ni tafiti pia