wanajitafutia msongo wa mawazo, wanaachwa wenye ndoa zao sembuse hawara
ya nini kujichora kwa makaa haliyakuwa kalamu ya moyoni ipo
ukishamweka moyoni mwako hilo limeshatosha
==========
waweza jishebedua mbele ya hadhara ukijiona wapendwa wewe tu kumbe ni debe tupu hata ndege waweza litia kinyesi