Glomeruli ni vichungi na mashimo madogo madogo sana yenye sifa ya kuchuja kwa kuchagua. Maji na vitu vidogo huwa rahisi kuchujwa. Lakini chembechembe kubwa za damu nyekundu, chembechembe za damu nyeupe, platelets, protini n.k haviwezi kupita katika mianya hii. Kwa hivyo katika mkojo wa watu wenye afya hakuna vitu vikubwa katika mkojo wao.
Hatua ya kwanza ya kutengeneza mkojo hufanyika katika glomeruli, ambapo 125 ml za mkojo hutolewa kwa dakika. Ni jambo la kushangaza kuwa kwa saa 24, lita 180 ya mkojo imetengenezwa! Haina uchafu pekee, madini na sumu lakini hata glucose na vitu vingine muhimu.
Figo hufanya kazi ya kunyonya kwa uerevu mkubwa mno. Kutokana na lita180 za maji ambayo huingia kwenye tubules asilimia 99% ya maji hunyonywa na asilimia 1% tu hutolewa kama mkojo.
Katika njia hii erevu vitu vyote muhimu na lita 178 ya maji yananyonywa na vijishipa na kati ya lita1-2 ya maji, vitu vichafu, madini zaidi na vitu vingine hatari hutolewa.
Je kunaweza kuwa na tofauti ya kipimo cha ujazo cha mkojo kwa mtu mwenye figo lenye afya?
Ndio. Kiwango cha kunywa maji na hali ya hewa (atmospheric temperature) ni sababu kuu ambazo huamua kiwango cha mkojo kwa mtu mzima.
Iwapo kiwango cha maji yaliyonywewa ni kidogo,huwa kidogo, mkojo huwa na vitu vingi vya chumvichumvi (concentrated), na kiwango cha chinihuwa karibu 500ml. Lakini maji mengi yakinywewa, mkojo mwingi unatengenezeka.
Wakati wa jua (summer) kwa sababu ya joto na kutoa jasho nyingi kipimo cha mkojo hupungua. Wakati wa baridi (winter) hali ni tofauti – kiwango cha joto ni cha chini,hakuna kutokwa na jasho, mkojo huwa mwingi.
Wakati wa jua (summer) kwa sababu ya joto na kutoa jasho nyingi kipimo cha mkojo hupungua. Wakati wa baridi (winter) hali ni tofauti – kiwango cha joto ni cha chini,hakuna kutokwa na jasho, mkojo huwa mwingi.
Kwa mtu anayekunywa kiwango cha maji kinachofaa, na iwapo kipimo (volume) cha mkojo anaokojoa ni chini ya 500ml lakini zaidi ya 300ml ni ishara tosha kuwa figo inahitaji uchunguzi.wa haraka.
BAADA ya Mauricio Pochettino kuondoka nyumbani Tottenham kwa muda, sasa taarifa zimefafanua kwamba ana asilimia nyingi za kujiunga tena na Spurs kwani ana hati hati ya kuondoka PSG kwa sababu hana maelewano mazuri na mabosi wa timu hiyo.
Hata hivyo, ikiwa Pochettino atarejea Spurs hatakuwa kocha wa kwanza yeye kufanya hivyo. Kuna makocha wengi wakubwa waliowahi kuondoka kwenye timu na baadaye wakarudi tena. Hawa hapa makocha watano waliorejea tena kwenye timu zao za zamani.
Aliporejea tena kwenye kikosi hicho aliwawezesha kuchukua tena ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2014-15, akiwa mafundi kibao kama Eden Hazard, Diego Costa na Cesc Fabregas.
Mourinho alijiunga na Chelsea kwa mara ya kwanza mwaka 2004 na akadumu hadi mwaka 2008 kisha akapita Inter Milan, Real Madrid kabla ya kurejea tena Chelsea 2013
Kwanza alianza kufanya makubwa akiwa akiwa mchezaji ambapo alizichezea timu mbili, Liverpool na Celtic jumla ya mechi 850 na akafunga mabao 345. Hii ilikuwa ni kuanzia mwaka 1960 hadi miaka ya mwishoni mwa sabini.