BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Safiii
Uzi umenifanya nicheke sana[emoji23][emoji23]Mbu waliotengenezwa na kuchanganywa na "VIAGRA" watoroka maabara ya Wuhan
Mbu ambao wamefanyiwa mabadiliko ya vinasaba na kuwekwa Viagra wametoroka maabara ya Wuhan hivi karibuni. Mbu hao ambao ikitokea wamekung'ata unaweza kupata hisia na hamasa kubwa ya kufanya mapenzi/ngono/tendo la ndoa kwa muda wa masaa 48 bila kuchoka. Wakazi wa maeneo ya karibu na Wuhan China...www.jamiiforums.com
Du, kumbe mpaka picha umemfotoa!!?[emoji23]Muombe ruhusa,akikubari naiweka hapa
Hahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa jirani, hujambo? wewe pia wanaogopa kukusema na rav4 new model [emoji23] na nywele zako za kihabesh...
Unaambiwa Wachina wanakesha huko ili watafunwe na hao mbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheheee................................wafie hukohuko
Duh!!Unaambiwa Wachina wanakesha huko ili watafunwe na hao mbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachina ni nouma
Wafungwe tu hamna namna..
πππππππDu, kumbe mpaka picha umemfotoa!!?[emoji23]
Nitupie pm bro nimuone malkia numby[emoji23][emoji23]