mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Huyu sijui Kama atachomoa haya mashitaka
Mtuhumiwa ana kiduku kichwani
Hatari
Mnamo Aprili Bw Biden aliitaja Korea Kaskazini kama "tishio kubwa" kwa usalama wa ulimwengu, na kusababisha jibu la hasira kutoka Korea Kaskazini ambayo ilisema taarifa hiyo ilidhihirisha dhamira ya Bwana Biden "kuendelea kutekeleza sera ya uhasama" kuelekea nchi hiyo.