Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mungu anasaidia Brother, vp kwa upande wako hapo?fresh bro vipi harakati
Yafaa kutembelea miji hiyo kujioneaHadi leo, Uhispania imekataa kata kata mazungumzo ya aina yoyote kuhusu miji hii miwili, na kusisitiza kuwa imekuwa ya Uhispania kwa zaidi ya karne tano na kwamba ni sehemu ya jimbo la Uhispania.
Lakini baadhi wanajiuliza ni kwa misingi gani ya kihistoria na kisheria?.