Methane hutolewa na viumbe Duniani, mchwa hadi ng'ombe, lakini pia hutolewa na volkano.
Lengo huwa ni kutambua iwapo kutapatikana gesi ya methane, pamoja na gesi nyingine kama vile oksijeni na ozoni, ambazo huzalishwa Duniani kutokana na miali ya jua.
Tutatafuta viumbe wapi? Wanasayansi hufikiria pahali bora zaidi ni kuangazia sayari zilizo katika eneo ambalo huitwa The Goldilocks Zone au kwa kifupi tu eneo ambalo viumbe wanaweza kuishi.
Mpango wenye ndoto kubwa wa kufikia mfumo huo wa nyota, uliofahamika kama Breakthrough Starshot, ulizinduliwa 2016.
Ulifadhiliwa na mwekezaji na mwanafizikia Mrusi Yuri Milner, kwa lengo la kuunda chombo cha kusafiri anga za juu kisichoweza kuharibiwa na jua. Chombo hicho kingesafiri kwa kasi asilimia 20 ya kasi ya mwanga.
Mpadi huo ukifanikiwa, basi vyombo hivyo vya usafiri vinaweza kuchukua miaka 20 kufikia Proxima Centauri b na miaka mingine minne kutuma data na taarifa kwenye Dunia.
Wataalamu wa anga za juu wanaamini huenda kukawa na viumbe wanaoishi maeneo yasiyo na chochote, au kwenye nyota kubwa sana - au kwenye kitovu cha Kilimia.
Huenda wasiwe dhaifu na wanyonge, au wawe wanahitaji kuwa kwenye eno linaloweza kutosheleza uhai ndipo waendelee kuishi. Si lazima wawe wanategemea maji na oksijeni.
uzuri wa boda boda unajazia mafuta kumi wengine wasijue kisha waweka bendera za chama husika mambo yanatiki maana bendera fata upepo watajiungapo tu kwenye msafara😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Baadhi ya wataalamu wa anga za juu wanaamini teknolojia hiyo inaweza kuwawezesha viumbe kama hao kuishi maeneo yenye kiwango cha juu sana cha kawi na joto.
Manchester City wako tayari kusubiri kwa mwaka mmoja kumpata mshambuliaji endapo juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 27, kutoka Tottenham msimu huu wa joto zitagonga mwamba. (ESPN
Mshambuliaji nyota wa Argentina Lionel Messi, 33, bado hajafanya uamuzi iwapo atasalia Barcelona au la, akiwa amebaki na wiki moja kumaliza mkataba wake na klabu hiyo ya Uhispania. (Marca)
Tottenham wanapanga kufanya mazungumzo na mkufunzi wa zamani wa Wolves Nuno Espirito Santo kuhusu mpango wa kuchukua nafasi ya ukocha, baada ya awali kumuacha nje ya kinyang'anyiro Mreno huyo mwenye miaka 47. (Football Insider)
Manchester City wako tayari kusubiri kwa mwaka mmoja kumpata mshambuliaji endapo juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 27, kutoka Tottenham msimu huu wa joto zitagonga mwamba. (ESPN)
Wawakilishi wa kiungo mshambuliaji wa Everton James Rodriguez wamemnadi mchezaji huyo kwa klabu kubwa za Ulaya Real Madrid, Atletico Madrid, AC Milan na Napoli baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Colombia aliye na umri wa miaka 29 kuonesha yuko tayari kuondoka uwanja wa Goodison Park club. (Mail)
Paris St-Germain wamewasiliana na kiungo wa kati wa Uhispania Sergio Ramos ,35, ambaye mkataba wake na Real Madrid unamaliza mwisho wa mwezi huu. (Goal)
PSG wameafikiana na Inter Milan kumsaini winga wa Morocco Achraf Hakimi kutoka klabu hiyo ya Serie A kwa kima cha euro milioni 59.8, ikijumuisha marupurupu ya ziada. (ESPN)
Arsenal wanaamini watafanikiwa kumshawishi kiungo wa kati Muingereza Emile Smith Rowe,20, kusaini mkataba mpya licha ya Aston Villa kuonesha nia ya kutaka kumnunua. (Football London)