Sayari ya Neptune huchukua miaka 165 kulizunguka Jua (Dunia ni siku 365). Kama ukitoka hapa Duniani ukiwa mtoto na kwenda Sayari ya Neptune' na kukaa siku mbili tu, Ukirudi Duniani utakuwa tayari umesha zeeka
Botox' hutumika hospitalini kwenye shughuli za upasuaji lakini pia huwa ni sumu kama mtu ataitumia bila kufuata vigezo na masharti, Gramu 4 tu inaweza kuua' watu wote duniani.
Coca-Cola ukiachana na kua moja ya Chapa (Brand) maarufu zaidi lakini ni mojawapo ya neno' la pili kwa kutambulika ulimwenguni, Neno la kwanza ni Okay'
Tafiti: Sayari ya Mars kuna sauti zinasikika za mfano kama wa mtu anaeimba huku akiwa amefunga lipsi za midomo yake, Mpaka sasa Wanasayansi hawaelewi zinatoka wapi na kwanini..
Tafiti: Sayari ya Mars kuna sauti zinasikika za mfano kama wa mtu anaeimba huku akiwa amefunga lipsi za midomo yake, Mpaka sasa Wanasayansi hawaelewi zinatoka wapi na kwanini..