Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uniq pamoja na ugomvi wangu na wewe amini hakukuwepo na kitu kibaya katika post zangu ama ya kichwa kichafu,
Tunafurahi kwa sababu hili ni jukwaa la kufurahi tu.

Je hapa kuna uadui wa kweli?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Humu ndani hakuna uadui wa kweli kabisa japo mimi na wewe ndio simba na yanga. Ila tupo tuu.
Unajua siku hazilingani hope unaelewa.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…