Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Happy birthday kiongozi japo umekatoa kale katotoJamani karibuni kwenye birthday
Party
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Nimekoma. Nitaleta picha na udaku pekee na kutoa likes tu. Utani utani nawaachie nyie mtaniane wenyewe.Ukistop kunitania utakuwa unaninyima haki yangu ya msingi kwa kweli.
Maana utani kwangu ndio unanifanya niendelee kufurahi humu na kuondoa stress zangu.
Numbisa ubuyu hebu kuja huku bhana acha na hayo yaliyopita.
Hahahahah wewe nakuonaToa location mkuu inawezekana Kichwa akajajipatia kimwana huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji276] [emoji276] [emoji276] ...asante kwa ukaribisho
HahahahhaWakuu leo toka nimeingia humu kuna msamiati nasikia humu "kuvunja zizi" nitoe tongotongo
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hahahaha ho chi minh ndio mwwnyekitiNasikia kuna kampeni sijajua ya nini
HahahahaAsante mkuu si unaniona hapo kweny avatar umri ulivonipa mkono
Itakuwa mimiWho kichafu kichwa
Hahaha hongera sana mkuu.Hahaha wadogo zangu wote wameolewa mkuu
Uzi maalumPiga hesabu kwa siku 20 100k 1m views amazing