Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui hata unachoongea lakini kazi yangu hapa ni moja tu - kutoa likes na kupokea likes. Vijembe na porojo zisizokuwa na maana hapa siyo mahali pake. Kula likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata msibani si wote walio hudhuria wana hudhuni na marehemu.Wanataka watulazimishe wote tupasuke vichwa kwa ajili ya kujadili siasa.Mkuu habari ya mtoto Jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Amen.Ahsante sana mkuu,uwe na siku njema nawe pia

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Jakitoo hajambo. Penzi linazidi kuchanua tu pamoja na mbinu chafu za mijibaba ya hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…