The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Jakitoo huyu dah!Msemo wa tigo umeharibu kwel et jakitoo anaogopa kula chakula changu asije kuliwa
Swalama mkuuJamani swalaaaaama
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Heshima brother wanguHeshima kwako Kichwa Kichafu
Achana nao we kula likeLakini kuna watu hawatoi likes
Huko ndiko alichota mawazo yake ya vijiji vya ujamaa. Aliporudi tu basi nchi nzima ikawa mvurugano. Waliosoma riwaya ya Gamba la Nyoka ya E. Kezilahabi bila shaka mnaelewa!
Wamekula likes...Wakuu, mmeshakula??