Sharti anyanyue kitanda maana dunia imebadilikaMtaka cha uvunguni
Hhaahaha noma aiseeEti jaribu kukalia kichwa. We jamaa hatari sana!
Taratibu taratibu tu mkuuNaona mnazidi kulisongesha tu gurudumu
MzingaUmesema nikaribie wapii???[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Mkuu hebu nikumbushe jinsi ya kumtag mtu,naona inagoma!!Hahhahaha CleverKING hizi unaziiba wapi mkuu
Kusema kweli si lazima ainame!Mtaka cha uvunguni
UnaharibuuuTwende sote chooni nikusubirie... Ukimaliza nakumaliza...
Mkuu pole sana achana na TECNOAmbao sijawapa likes nivumilien kidogo ntawapa tu browser inazingua
Hata kutuma picha inakataa mara sijui permission au screen overlay detected aah
Utaratibu ni wakawaida tu.Halafu naona wageni humu,vipi mmewakagua?