antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
SawasawaWinga wa zamani wa Arsenal Perry Groves anasema Gunners wanatakiwa kumlenga mshambulizi wa Everton na Uingereza Dominic Calvert-Lewin, 24, mwisho wa msimu. (Star)
Huyo pia safiiArsenal wako tayari kumenyana na Paris St-Germain katika kinyang'anyiro cha kusajilikiungo mshambulizi wa Brazil Lucas Paqueta, 24, kutoka Lyon. (Calciomercato - kwa Kitaliano)