.Huondoa sumu mwilini(toxins)
Maji yaliyopo kwenye matango huwa kama fagio ambalo linasafisha uchafu wote ndani ya mwili,Ulaji wa matango mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo(dissolve kidney stones)
Husaidia kuongeza vitamin ndani ya mwiili A B n C
Vitamin A,b na C huoneza kinga ya mwili na kukupatia nguvu za kutosha,Unaweza kutengeneza juice ya tango ukichanganya na spinach pamoja na karoti kuifanya nzuri na yenye nguvu Zaidi,vitamin c ni nzui kwa ngozi asilimi 12 inashauriwa
Yanasaidia katika umeng’enyaji na kupuguza uzito
Matango kwa sababu ya maji mengi na low carlories ni mazuri kwa kupunguza uzito,pia kutokana na fiber zilizpo zitafanya mmeng’enyo wako uende taratibu,,Ulaji wa matango mara kwa mara husaidia kuondoa tatizo la kupata choo
Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi zllizodhofika na magonjwa
Chukua kipande cha tango na ubonyezee kwenye ukuta wa mdomo wako kwa ulimi wako kwa muda wa dakika moja,pythochemicals ambazo zipo kwenye tango zitaua bacteria waliopo mdomoni mwako ambao wanasababisha harufu mbaya
Matango yanaongeza afya ya joint zako na kuondoa maumivu ya kwenye magoti na arthritis
Kwa maana yana silica nyingi yanapochanganywa na karoti kutengeneza juice yanaondoa maumivu ya magoti kwa kushusha level ya uric asidi
Inatibu kabisa hangover
Kuepuka kuumwa kichwa asubuhi au hangogver unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala,Matango yana vitamin B ya kutosha ,sukari na electrolyte ambayo inalishe za muhimu ambaz zinasidia kuondoa hangover na maumivu ya kichwa
Yanasaidia kupambana na kansa
Matango yana secoisolariciresinol,lariciresinol na pinoresinol,vitu hivi vitatu husaidia kupambana na kansa ya titi,kansa ya mfuko wa uzazi,tezi dume, na kansa ya yai la kike(ovarian)
Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti presha
Matangoa yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,
Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.
Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu