Ingia kwenye jukwaa la siasa kamseme vibaya kiongozi wa team nyumbaz au wa team fisiz kisha subiri uone povu linavyomwagikaHahahaha jukwaa la jaziba
Tusifike mbali mama.Naona unatamani sio... Haya usiku mwema
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tayariii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Gonga likes twende pamoja..Mpenzi kanizingua maisha yanazingua oooh mama yooooo narudi kwetu kijijini siwezi maisha ya Daa si salama oooh mama yoooo,
lol *singing*
Culture Gal.
Mara nyingine wapenda siasa wakiingia humu hutafsiri comment zetu kwenye mlengo wa kivyama. WanatuboaHahahaha jukwaa la jaziba
We jamaa acha hizo!Bora wehu hao usiwasikilize
Kwakweli mkuu Rosweeter amepotea sanaHivi ww upogo kweli maana duuh
Mama na mwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]