Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huboresha afya ya macho

Kula embe kutakunufaisha kwa kulinda macho yako dhidi ya kudhoofu kwa misuli ya macho.
 
Huweza kuzuia saratani

Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani.
 
Husaidia kukabili kisukari

Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa ulaji wa embe huweka kiwango cha mwili cha sukari na insulini katika hali nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…