Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huishi kwa ushirikiano na mara nyingi majike ndo wenye jukumu kubwa la kuhakikisha wanawinda na kupata chakula cha familia nzima.
 
Aina hii ya maisha imewafanya wawinde kwa njia ya kuvamia moja kwa moja na baada ya kukamilisha windo lake huweza kulificha juu ya miti ili kukwepa wanyama wengine wanaokula nyama wasiweze kumnyang’anya
 
Duma: Jamii hi ya wanyama wakubwa wanokula nyama hupenda kusihi katika makundi na hutegemea sana katika uwezo wao wa kukimbia kwani ndiye mnyama mwenye kasi zaidi duniani.
 
Duma: Jamii hi ya wanyama wakubwa wanokula nyama hupenda kusihi katika makundi na hutegemea sana katika uwezo wao wa kukimbia kwani ndiye mnyama mwenye kasi zaidi duniani.
 
Fisi: Wanyama hawa hutegemea sana katika uwindaji wa makundi, na uwindaji wao hutegemea zaidi katika uvumilivu mkubwa walionao wa kuweza kubana pumzi kubwa hivyo hawachoki haraka.
 
Waongozaji wengi wa watalii wamekuwa wakiingilia pale wanyama hawa wakiwa wanawinda na hivyo kuwafanya wanyama hawa kuwashangaa binadamu na au kukimbia na kusababisha kukosa chakula.
 
Mara chache wanyama hawa wamekuwa wakiuawa pindi wanaposababisha usumbufu kwa bindamu na hivyo kuwa miongoni ma sababu ambazo zinasababisha idadi kuzidi kupungua..
 
Kuwauua pindi wanapovamia na kula mifugo ya wananchi.
Baadhi ya wananchi wamejichukulia hatua za kuwaua wanyama hawa pindi wawapo kwenye maenao yao na zaidi sana wakivamia mifugo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…