Hii imekuwa ikijitokeza wakiwa wanawinda wanyama wakubwa kama nyati, twiga, tembo n.k lakini pia hata wenye maumbo ya kati mfano punda mbilia, nyumbu na jami nyingine za swala wakiwa wengi sio rahisi kuwawinda hivyo husaidiana kuwafukuza na kuwaumiza wanyama hawa wanaokula nyama.
kwa uchache wa makala hii kuna vingi vya kuvifanyia kazi pia nikumbushe kitu hatuhifadhi kwa faida yao tu bali kwa faida yetu sote kwani kila mnyama ana mchango mkubwa katika kusaidia maisha yetu
Although I understand that all days are equal with 24 hours each, most of us agree that Friday is the longest day of the week and Sunday the shortest 😊
Sitting with her on Sunday evening — a wet Sunday evening — the very time of all others when if a friend is at hand the heart must be opened, and every thing told..
Sometimes I have loved the peacefulness of an ordinary Sunday. It is like standing in a newly planted garden after a warm rain. You can feel the silent and invisible life
"Sunday is a time when you sit back and reflect on all the blessings that you have received. Smile at all the good things that you are enjoying." Sera Train
"After a week of the contained chaos that is my job, I need some solitary running time. On Sundays, I can unwind and reconnect with the natural world."
Linda Jones