Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa
 
Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalisiamu (Calcium) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi!
 
Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni muhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma,
 
kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…