Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matembele yana madini ya chuma. Madini haya ndiyo muhimu katika utengenezaji wa damu, kwa hiyo mtu anapotumia matembele anakuwa anaongeza kiwango cha damu mwilini.
 
Ingawa inapatikana kila mwaka, mboga hii yenye majani huliwa vizuri baada ya msimu wa baridi, kutoka Machi hadi Mei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…