Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kichwa kichafu anamnyatia na kumwagia mistari ya hatariUsiwasikilize ao jakitoo anakuelewa na kukusikiliza
DuuuNachungulia
Nimebanwa mapenzi matamu
Kazi kwa kweliYap. Ntu na ntu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee !!Anadai uzi huu unamchukulia muda wake inapobidi... eti nampa muda kuongelea tunavutaje pesa tu na tunayofanya kimaisha.
Eeeh
Umechoka kutoa na kupokea likes? Ina maana hutarudi tena? Hapa focus na kutoa likes na kupokea likes (na pengine kutongozwa [emoji23][emoji23][emoji23]). Mengine haya yaache!Ngoja niwaachie uzi wen[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unajua mimi napenda sana maneno ya mama yangu na ndoto yangu itatimia kama unajongea katika familia yetu.mama anaishi Australia nilimueleza habari zako nae kaitikia wito.alipenda akukabidhi mali zake .poa nitakucheki PM.byThank you Swissme, Pokea LIKE
Halafu vijana wakikuibukia humu unang'aka ooh mi mtu mzima. Kumbe...Nachungulia
Nimebanwa mapenzi matamu
Kwema kisu cha ngariba brotherWadau kwema?
Hua anakuja kupata likes kadhaa na kuondoka..Umechoka kutoa na kupokea likes? Ina maana hutarudi tena?
Toa likes pata likesContent ya uzi ni likes jamani... So we pita like upewe likes
Swissme. Kamanda mwenye msimamo mkali kule mahali lakini hapa hoiiii. Uzi huu kwa kweli raha sana. Chukua likes mkuu!Unajua mimi napenda sana maneno ya mama yangu na ndoto yangu itatimia kama unajongea katika familia yetu.mama anaishi Australia nilimueleza habari zako nae kaitikia wito.alipenda akukabidhi mali zame.poa nitakucheki PM.by
Swissme