Ulishawahi kushikiliwa na akili? Au mawazo yako? Mfano badala ya kuweza kusuluhisha tatizo au jambo lililopo akilini unashindwa na badala yake akili ndio inazidi kuzidisha matatizo?
Ni vigumu sana kujua hisia ya moyo na siku zote unapojaribu kutaka kufahamu moyo unataka nini akili huwa inakuzuia na inaweza kukudanganya kuwa moyo unahisi hivi kumbe sio kweli.