Ni vyema kuamka asubuhi kwa furaha, utaratibu, amani, na kushukuru kwa kuamka vyema na kuahidi kuitumia vyema siku yako katika maendeleo ya ndani na nje ya nafsi yako.
ahadi ulizoziahidi leo za kutimiza leo na sio lazima uende sawa na ratiba ninayokuelekeza unaweza ukapanga ratiba yako nzuri, ya umuhimu, na ifuate vyema kila uamkapo.