Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
👍Hizi ni ambazo nimezifanya ziwe kama mwongozo wako;
Afya
Afya ya Mwili. Afya ya Akili. Afya ya Kiroho. Vitu Hivi vitatu ni muhimu sana kwenye maisha yako. Huwezi kusema una maisha bora kama hizi sehemu tatu hazina ubora au hazina afya.Unapaswa kuwa na mikakati ya kufanyia kazi sehemu hizi kwasababu ndio zimebeba maisha yako yote
SawaHekima
Wakati Sahihi wa Kukaa Kimya. Wakati Sahihi wa Kuongea Kitu Sahihi Cha Kuongea. Hii itakuwezesha uweze kuishi na wengine vizuri. Kuna watu wenye tabia mbalimbali zinazokera bila ya Hekima utakuwa mtu mwenye hasira, chuki na Visasi hutaweza kufurahia maisha.
👍Utajiri
Uwekezaji, Mali, Mtandao wa Watu, Upendo.Maisha ili yawe bora ni lazima ufikie kile kiwango ambacho Hutakuwa na Matatizo yanayoletwa na ukosefu wa pesa.Hivyo ni muhimu kuhakikisha vile ambavyo unatakiwa kuvifanyia kazi ili kujenga mifereji ya kipato ambayo inadumu.
😂RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato
Mwanza, Mwanza, Mwanza! Kwa kweli mmebahatika kuwa na maRC wenye vituko. Huyu wa sasa naye sijui atatumbuliwa? Hebu muangalieni hapa…www.jamiiforums.com
long time no see, nimerudi nimekua mgenimzee wa VAR mwenyeji kabisa