Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,201 Hii humfanya aridhike kama vile tangu mwanzo amekula chakula kizuri (akipendacho).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,202 Kwa kuwa nivigumu kujua ni chakula kipi kitamfaa yupi, ni vyema kuwa na angalau supu pembeni kama ziada ya mlo.
Kwa kuwa nivigumu kujua ni chakula kipi kitamfaa yupi, ni vyema kuwa na angalau supu pembeni kama ziada ya mlo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,203 Supu hurahisisha mlo kuwa kamili hasa kwa wale wasioweze kutafuna au kula vyakula vya kawaida, mathalani, wagonjwa, wazee, vibogoyo au watoto
Supu hurahisisha mlo kuwa kamili hasa kwa wale wasioweze kutafuna au kula vyakula vya kawaida, mathalani, wagonjwa, wazee, vibogoyo au watoto
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,204 Supu hutengenezwa kwa kuchanganya vyakula mbalimbali ambavyo kwayo kwa kawaida mtu hawezi kuvila.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,205 Mfano kwa mtu amwenye meno mazima atakula nyama, atakuwa sawa na mzee au kibogoyo atakae kunywa supu yenye mchuzi wa nyama usioungwa
Mfano kwa mtu amwenye meno mazima atakula nyama, atakuwa sawa na mzee au kibogoyo atakae kunywa supu yenye mchuzi wa nyama usioungwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,206 Kwa upande mwingine mgonjwa anaweza kukataa kula aina fulani ya chakula na labda pengine ni muhimu kwa afya yake,
Kwa upande mwingine mgonjwa anaweza kukataa kula aina fulani ya chakula na labda pengine ni muhimu kwa afya yake,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,207 kinachoweza kufanywa ni kutengeneza supu kutokana na chakula hicho na kuichanganya na michuzi ya vyakula kisha kumpatia mgonjwa.
kinachoweza kufanywa ni kutengeneza supu kutokana na chakula hicho na kuichanganya na michuzi ya vyakula kisha kumpatia mgonjwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,208 Supu huburudisha na kuchangamsha huku ikikupatia virutubisho kedekede kwa ajili ya afya yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,209 Badala ya kununua vinywaji baridi vyenye kuburudisha lakini visivyonufaisha mwili zaidi ya kukufilisi, ni bora kujenga tabia ya kujiandalia na kunywa supu.
Badala ya kununua vinywaji baridi vyenye kuburudisha lakini visivyonufaisha mwili zaidi ya kukufilisi, ni bora kujenga tabia ya kujiandalia na kunywa supu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,210 Miongoni mwa faida za supu uwezo wake wa kupunguza kasi ya kuongezeka uzito wa mwili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,211 Hii hutokea hasa kwa wale wanaotunza uzito wao usiongezeke,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,212 ambapo hupunguza kula na badala yake kunywa supu na kuifanya afya kundelea kuwa nzuri.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Apr 20, 2022 #1,324,213 antimatter said: Asubuhi njema huanza na alfajiri njema [emoji4] Click to expand... Aamina
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,214 Vile vile supu hupunguza matumizi na upotevu wa mabaki ya vyakula
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,215 Mara nyingi mchuzi utumikao kutengeneza supu auhitaji vyakula kama vilivyo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,216 Mathalani nyama au samaki vyaweza kuchunwa na mifupa yake huchemshwa kupata mchuzi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 20, 2022 #1,324,217 Au badala ya kutupa mifupa au majani basi unayatumia tena.
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Apr 20, 2022 #1,324,218 π©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈ
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Apr 20, 2022 #1,324,219 π©βπ¬π©βπ¬π©βπ¬π©βπ¬π©βπ¬
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Apr 20, 2022 #1,324,220 π©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈ