CAG mstaafu mzee Uttoh amesema ripoti ya CAG ya 2019/2020 ilionyesha ufisadi mkubwa kiasi cha kushangaza hii maana yake ni kuwa panapokuwa na uongozi mkali wapigaji wanakuwa wachache lakini wanapiga dili " kubwa kubwa " tu Uttoh amesema hadi sasa bado kuna ufisadi mkubwa unaendelea serikalini...