Milango haikuwa imefungwa, ilikuwa imekwama. Hata wakati huo Titanic ilitengenezwa kwa chuma safi lakini chuma cha wakati huo kilikuwa sawa na chuma cha leo. Hakikuwa na nguvu."
John Vaitavuk, profesa wa madini katika Chuo Kikuu cha Mackenzie Persebyterian huko Sao Paulo, anaeleza kwamba hadi miaka ya 1940, sehemu kuu ya meli ilikuwa imetengenezwa kwa chuma.