A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,801 Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,802 Mwenyezi-Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake; hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,803 Kila mwenye kiburi ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; hakika mtu wa namna hiyo hataacha kuadhibiwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,804 Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,805 Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,806 Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,807 Ni chukizo kubwa wafalme kutenda uovu, maana msingi wa mamlaka yao ni haki.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,808 Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,809 Njia ya wanyofu huepukana na uovu; anayechunga njia yake huhifadhi maisha yake.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,810 Kiburi hutangulia maangamizi; majivuno hutangulia maanguko.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,811 Moyo wa mwenye hekima humwezesha kusema kwa busara; huyafanya maneno yake yawe ya kuvutia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,812 Maneno mazuri ni kama asali; ni matamu rohoni na yenye kuupa mwili afya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,813 Mtu mwovu hupanga uovu; maneno yake ni kama moto mkali.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,814 Asiye mwepesi wa hasira ni bora kuliko mwenye nguvu; aitawalaye nafsi yake ni bora kuliko autekaye mji.
Asiye mwepesi wa hasira ni bora kuliko mwenye nguvu; aitawalaye nafsi yake ni bora kuliko autekaye mji.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,815 Kura hupigwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wake Mwenyezi-Mungu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,816 Cha kichwa kitamu, na cha mkia kitamu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,817 Cha shina kitamu, cha kati kitamu na cha ncha kitamu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,818 Chachu ikichachuka, watu watatafutana.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,819 Cha mlevi huliwa na mgema.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 May 1, 2022 #1,325,820 Cha mjinga huliwa na mwerevu.