Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sio mtu ambaye ana aibu juu ya maisha yangu ya zamani. Kwa kweli ninajivunia. Najua nilifanya makosa mengi, lakini hayo ndiyo yalikuwa funzo langu la maisha.” - Drew Barrymore
 
Huwezi kuishi maisha yako kwa ajili ya watu wengine. Lazima ufanye kile ambacho kinafaa kwako, hata ikiwa inaumiza watu fulani unaowapenda. - Daftari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…