D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ndio ushabikie liverpool, halafu una fujo. Thread ya man utd usije bibiee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Nitashinda huko kila siku maana siku hizi ni jukwaa la comedy 😂ndio ushabikie liverpool, halafu una fujo. Thread ya man utd usije bibiee
Leo unazimwaga tu hizo salamu. umemsahau nuzilati anko tena huyu ana draft za kutosha ,huku biriani,kule kuku rost ,kuku kavu,supu ya kuku,bajia kababu,pilau etc yaani.
hiyo salamu yako ya kiebrania ni dalili tosha ya kwamba hujapata mwaliko wa biryani.
Kabisaaa asiguse kule😂😂😂😂ndio ushabikie liverpool, halafu una fujo. Thread ya man utd usije bibiee
🤣🤣🤣🤣🤣Na mashabiki wa liver wana kelele balaaSaint Anne amekuwa mpenzi wa mpira kuliko hata PELE. halafu Kinashabikia liverpool, timu ya vizee. Nishanunua ugomvi, kazi kwake
tutainuka tena, utaona fujo langu likiongozwa na nguvu za shetani mwekundu mwenye makengezaNitashinda huko kila siku maana siku hizi ni jukwaa la comedy 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najibembelezesha mwaliko.Leo unazimwaga tu hizo salamu. umemsahau nuzilati anko tena huyu ana draft za kutosha ,huku biriani,kule kuku rost ,kuku kavu,supu ya kuku,bajia kababu,pilau etc yaani.
Shikamoo Anko mzima?
vumilia tuna siku 3 nyengine, endelea kusikiliza matangazo ya vifo na matangazo maalum huenda mualiko ukausikia😂😂😂😂😂😂😂nipo napata miziki kidogo hapa huku nasubiria mwaliko wa urojoView attachment 2209824
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Babu urojo katugomea leo. paap keshaanzisha mada ya mpira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najibembelezesha mwaliko.
Marahaba mamaangu, Mungu ni mwema tumemaliza mfungo salama.
Mpendwa Anko @Nuzilati pita huku ufanye jambo
Naamini kabla ya Magharibi haijahitimika nitakuwa nimepata pa kwenda.Heri mara nyingi huvutwa na Subrahiyo salamu yako ya kiebrania ni dalili tosha ya kwamba hujapata mwaliko wa biryani.
nakwambia, nikienda jukwaa lao anatawala yeye tu utadhani ana undugu na bongo zozo .ngoja villareal watusaidie leo usiku kutuchinjia jogoo la sikukuu🤣🤣🤣🤣🤣Na mashabiki wa liver wana kelele balaa
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani jamaniiiiivumilia tuna siku 3 nyengine, endelea kusikiliza matangazo ya vifo na matangazo maalum huenda mualiko ukausikia
nakwambia, nikienda jukwaa lao anatawala yeye tu utadhani ana undugu na bongo zozo .ngoja villareal watusaidie leo usiku kutuchinjia jogoo la sikukuu
babu kuna vita ya urusi hivyo sidhani kama utapata mualiko, bora utafute ugali umezeNaamini kabla ya Magharibi haijahitimika nitakuwa nimepata pa kwenda.Heri mara nyingi huvutwa na Subra
nitamuangushia lawana Saint AnneWakichinjwa aiseee lawama zoote atadondoshewa klopp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Babu urojo katugomea leo. paap keshaanzisha mada ya mpira
huyo nuzulati ndiye cha uroho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najibembelezesha mwaliko.
Marahaba mamaangu, Mungu ni mwema tumemaliza mfungo salama.
Mpendwa Anko Nuzulati pita huku ufanye jambo
Mjukuu, hii kauli ungeilainisha kidogo. Imekuwa ngumu sana kuipokea.babu kuna vita ya urusi hivyo sidhani kama utapata mualiko, bora utafute ugali umeze
mjukuu wako numbisa alinialika pasaka saa 12 jioni, hilo kanisa linakuwa lishafungwa. Akupigae ngumi ya jicho mrudishie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa mna jadili mashetani wekundu badala ya sikukuu...
Kweli malipo ni hapa hapa nchini, mwakani id itatangulia na kufuatia na Pasaka.