D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
halafu leo meli zipo likizo, by the way mzee moudgulf yuko wapiMjukuu, hii kauli ungeilainisha kidogo. Imekuwa ngumu sana kuipokea.
Ya Mungu mengi, muda bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjukuu wako numbisa alinialika pasaka saa 12 jioni, hilo kanisa linakuwa lishafungwa. Akupigae ngumi ya jicho mrudishie
Isije ikawa parapanda ishalia ohoo! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mzee wa pwani hata sijajua kapotelea wapi! Hata simu yake haipatikani.
Tangu unipe taarifa ya kuvunjwa kwa soko hapo kijiweni na wewe ukawa hauonekani humu
Tunaenda kuwateketeza😂nakwambia, nikienda jukwaa lao anatawala yeye tu utadhani ana undugu na bongo zozo .ngoja villareal watusaidie leo usiku kutuchinjia jogoo la sikukuu
Tunawapeleka mbio hadi Kipara anatuogopa😂Saint Anne amekuwa mpenzi wa mpira kuliko hata PELE. halafu Kinashabikia liverpool, timu ya vizee. Nishanunua ugomvi, kazi kwake
Na mimi nitamtupia lawama kapteni wetu😂nitamuangushia lawana Saint Anne
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa mna jadili mashetani wekundu badala ya sikukuu...
Kweli malipo ni hapa hapa nchini, mwakani id itatangulia na kufuatia na Pasaka.
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mjukuu wako numbisa alinialika pasaka saa 12 jioni, hilo kanisa linakuwa lishafungwa. Akupigae ngumi ya jicho mrudishie