myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaAingiaye kichakani hurejea na kuni
Haswa..Avumaye baharini papa kumbe wengine wapo.
Aisee!!Isije ikawa parapanda ishalia ohoo! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Msimu wa mvua huu...Hakuna masika yasiyokuwa na mbu
Kweli kabisa hii...Jitihada haiondoi kudura
Duh..Daemushin nakuzoom tu kama huyo mjumbe hapo chiniView attachment 2209812
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂nipo napata miziki kidogo hapa huku nasubiria mwaliko wa urojoView attachment 2209824
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏..
AmenMungu atupe jioni njema 🙏