Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo ni maisha - maisha pekee ambayo una uhakika nayo. Tumia vyema leo. Pata kupendezwa na kitu. Jitikise mwenyewe. Kuza hobby. Acha upepo wa shauku ukupite. Ishi leo kwa furaha.” - Dale Carnegie
 
Yeyote anayeacha kujifunza ni mzee, awe na umri wa miaka ishirini au themanini. Yeyote anayeendelea kujifunza hubaki mchanga. Jambo kuu maishani ni kuweka akili yako mchanga." - Nukuu za Hekima za Henry Ford
 
Aisee!!
Nipo Mwakaleli, katikati ya mwezi huu narudi mjini itanibidi nimtafute bwana mdogo fulani hivi wa karibu.
Kwema shemeji?
Huku kwema ndugu yangu. Kabula wangu unaye huko au uko peke yako? Hajambo? Wapwa je?

Sikukuu njema aisee na Mungu Aendelee kukubarikini sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Huku kwema ndugu yangu. Kabula wangu unaye huko au uko peke yako? Hajambo? Wapwa je?

Sikukuu njema aisee na Mungu Aendelee kukubarikini sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amina.
Wote ni wazima kabisa. Nipo nae anashangaa shangaa tu mafuriko.
Ahsante ndugu yangu, wasalimie sana familia kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…