Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Matendo hayawezi kuleta furaha kila wakati, lakini hakuna furaha bila vitendo." - Benjamin Disraeli.
 
"Mara nyingi sana tunapuuza nguvu ya mguso, tabasamu, neno la fadhili, sikio la kusikiliza, pongezi la unyoofu, au kitendo kidogo zaidi cha kujali, ambayo yote yana uwezo wa kubadilisha maisha." - Leo Buscaglia
 
Iwapo mwili wako haupati maji ya kutosha, hali hii inaweza kusababisha madhara mbalimbali ya muda mfupi na muda mrefu kama vile magonjwa ya shinikizo la damu, saratani pamoja na magonjwa ya figo.
 
Huondoa sumu mwilini
Unywaji wa maji mengi husaidia kuondoa sumu mwilini kwani huwezesha viungo kama vile figo kufanya kazi yake vyema.
 
Unapokunywa maji kabla ya kula chochote asubuhi utauwezesha mwili wako pia kujenga misuli na kuzalisha seli mpya za damu.
 
Kunywa maji kabla ya kula chochote unapoamka huufanya utumbo kuwa tayari kufyonza virutubisho. Kumbuka, maji ni muhimu kwa ajili ya watoto na watu wazima pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…