myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMiili yetu inaundwa na asilimia 70 ya maji, hivyo ni muhimu kunywa maji ya kutosha ili kuufanya mwili kufanya kazi vyema
Muhimu..Kunywa maji angalau dakika 30 kabla ya kula, lakini si ndani ya dakika 45 baada ya kifungua kinywa, chakula cha mchana au chakula cha jioni.
AmenMungu atupe afya na uzima π
πThe foundation stones of honesty, character, faith, integrity, love, and loyalty are necessary for a balanced success that includes health, wealth, and happiness. As you go onward and upward in life, you will discover that if you compromise any of these principles you will end up with only a beggar's portion of what life has to offer. Zig Ziglar, See You At The Top