myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee....Mjue 'Banana Spider' ambaye akikuuma unasimamisha kwa muda wa zaidi ya saa
Ni maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama. Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa...www.jamiiforums.com