Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saikolojia: Kupenda ngono kupindukia inatajwa kuwa ni mojawapo ya ugonjwa, lakini haifahamiki ni sababu zipi haswa ambazo zinampelekea mtu kuugua ugonjwa huo.

Chanzo: Psychology Today
 
Tafiti: John Harvey Kellog ndie muanzilishi wa Cornflakes' mwaka 1894 ambapo kwa mujibu wake anadai aliandaa aina ya chakula hicho ili kuzuia vijana wasitamani kujichua (Punyeto).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…