Heshima kwenu wakuu, Ni muda sasa tangu nifahamu biashara hii lakini kwa bahati mbaya hakuna uzi hapa jf unaoelezea biashara hii, naamini kuwa connected ni kitu bora zaidi kwenye biashara yoyote. Kuna wachina hapa mjini(Dar), japo kwa sasa hata mikoani wamefika, wananunua vitu vingi kutoka kwa...