Tozo ni wizi, hakuna jina lingine zuri unaweza kulipamba. Mbaya zaidi tozo hizi zinatozwa na serikali dhidi ya watu wake masikini. Bunge lolote halali lisingeweza kuhalalisha wizi huu wa mchana kweupe dhidi ya raia wake. Kila 100,000 utakayotoa benk na kumtumia mzazi wao itakuwa na makato...