Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia zilizopatikana kwenye mitaa ya merseyside polisi wameamua kuzidisha ulinzi kwenye mitaa hiyo ni baada ya kugundulikana ya kwamba mashabiki wa liverpool wana mpango wa kumteka rooney aliyetua kwenye timu ya everton na lengo kuu ni kumpokonya medali zake 5 za ligi kuu alizoshinda akiwa man utd ili wazipeleke kwenye makumbusho ya timu yao ya liverpool. fahamu kwamba liverpool hawajawahi kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa miaka 25.
samahan sana mzee wa liver usije ukaacha kunipa like yangu.
hapa ni toa like upate likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…