Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawasawa.....Kwa hakika hatuwezi kufanya mambo yafanikiwe na kwa wakati ikiwa hatutakuwa na ratiba nzuri tunayoifuata kikamilifu. Ni muhimu ukatenga muda ukaanda ratiba yako ya siku, wiki au hata mwezi.