Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,301 Kunde Ni moja ya mboga za majani kwa majani yake na mbegu yake ikiwa bado mbichi ,huwa na wingi wa nishati, nyuzinyuzi ,protini , Vitamini A, B,C ,E na K.
Kunde Ni moja ya mboga za majani kwa majani yake na mbegu yake ikiwa bado mbichi ,huwa na wingi wa nishati, nyuzinyuzi ,protini , Vitamini A, B,C ,E na K.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,302 Mboga hii huwa na faida zifuatazo; Huwa na mafuta kidogo ambayo husaidia kuthibiti uzito kupita kiasi
Mboga hii huwa na faida zifuatazo; Huwa na mafuta kidogo ambayo husaidia kuthibiti uzito kupita kiasi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,303 Huwa na nyuzi nyuzi na virutubisho vidogo vidogo vinavyosaidia umeng’enyaji wa chakula tumboni na kufanya chakula kisikae muda mrefu tumboni.
Huwa na nyuzi nyuzi na virutubisho vidogo vidogo vinavyosaidia umeng’enyaji wa chakula tumboni na kufanya chakula kisikae muda mrefu tumboni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,304 Huwa na wingi wa protini ambayo husaidia kuponya mwili n majeraha na utengenezaji wa homoni
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,305 Huwa na wingi wa protini ambayo husaidia kuponya mwili n majeraha na utengenezaji wa homoni
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,306 Husaidia kuongeza kinga za mwili kutokana na kuwa na antioxidant nyingi kama flavonoids, carotenoid na polyphenols
Husaidia kuongeza kinga za mwili kutokana na kuwa na antioxidant nyingi kama flavonoids, carotenoid na polyphenols
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,307 Husaidia kuondoa mikunyazi kwenye ngozi kutokana na kuwa na Vitamin E kwa wingi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,308 Husaidia kuondoa mikunyazi kwenye ngozi kutokana na kuwa na Vitamin E kwa wingi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,309 Husaidia kuondoa mikunyazi kwenye ngozi kutokana na kuwa na Vitamin E kwa wingi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,310 Husaidia kuthibiti sukari mwilini kutokana na kuwa na protini kwa wingi na nyuzi nyuzi ambazo huthibiti umeng’enyaji wa chakula cha sukari
Husaidia kuthibiti sukari mwilini kutokana na kuwa na protini kwa wingi na nyuzi nyuzi ambazo huthibiti umeng’enyaji wa chakula cha sukari
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 1, 2023 #1,341,311 Kuwa na wingi wa Vitamin B1, B2 na folate husaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,577 Reaction score 285,648 Jan 1, 2023 #1,341,312 Happy 2023 fam[emoji3060][emoji3060][emoji2956][emoji2956]
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,313 melusine8 said: View attachment 2457495 Click to expand... Aisee
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,314 Salam kwenu wote
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,315 Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,316 Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏 🤲
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,317 Mwaka uwe mwema wafanyakazi wote
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,318 Mwaka uwe mwema wakulima na wafugaji na wavuvi wote..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,319 Mwaka uwe mwema wasafiri wote..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 1, 2023 #1,341,320 Mwaka uwe mwema waalimu na wanafunzi wote.