myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Apumzike kwa amani..
SawasawaHuwa na wingi wa protini ambayo husaidia kuponya mwili n majeraha na utengenezaji wa homoni
SawasawaMboga hii huwa na faida zifuatazo;
Huwa na mafuta kidogo ambayo husaidia kuthibiti uzito kupita kiasi
Mwaka uwe mwema walezi wa familia zetu ..
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Salam kwenu wote