Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,306
- 32,797
Hivi huyu ni nani mbona simjui kwani alikuwa mwanajf mwenzetu au
Poleni sana..Ni mtoto wa dada yangu baba tofauti!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
🤣🤣🤣Numbisa hana adabu, amenikosesha mwaliko wa kirismasi licha ya kwamba nauli ya kwenda mwanza nilikuwa nayo.
Ulidhani nitakuja na sweta langu kama dada yule wa JF
Analamba asali kwa sasa...
Amenikosea sana yule mwanamke
Kapotea sana..
Kama yupo hai ashukuriwe maulana..Analamba asali kwa sasa...
SawasawaSitak like ya mtu yeyote [emoji35][emoji35]
Maparachichi yameshindwa kuzaliwa, ndio maana amekuwa mpotevuKapotea sana..
🤣🤣 na mafenesi pia.Maparachichi yameshindwa kuzaliwa, ndio maana amekuwa mpotevu