myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππMwenye uzi nimerudi, myoyambendi namshusha cheo
Wazima kabisa, sijui pande za huko fuoni..!!Nimeshiba,
Nimefurahi kukuona kwa njia ya keyboard.
Wazazi hawajambo?
Hawajambo, ulishawahi kufika FUONI?Wazima kabisa, sijui pande za huko fuoni..!!
Hapana seniorHawajambo, ulishawahi kufika FUONI?
Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji2969]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji2969]
Jioni iwe njema na yenye amani na utulivu [emoji120] [emoji2969]