Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nicotine Addiction”
Hii ni hali ya kuwa mtumwa wa Sumu ya Nicotine. Mtumiaji wa shisha huvuta kiwango sawa cha nicotine kama mvutaji wa sigara hii husababisha sumu hii hatari kuingia kwenye damu yake, matokeo yake hataweza kuishi bila kutumia shisha au sigara.
 
Kupoteza Uwezo za Kujamiiana.
Utafiti unaonesha kuwa, wanawake wanaotumia shisha hupoteza hamu ya kujamiiana kwa kiasi kikubwa. Hali ni mbaya zaidi kwa wanaume kwani huchangia kwa kiasi kikubwa upungufu wa nguvu za kiume.
 
Kuchakaa kwa ngozi.
Kama ilivyo kwa watumiaji wa sigara, matumizi ya shisha huchangia kwa kiasi kikubwa katika uharibifu wa ngozi. Mtumiaji wa muda mrefu wa shisha huzeeka haraka zaidi ya asiyetumia.
 
Asthma na Allergy Zingine
Uvutaji wa shisha huharibu utando laini uliopo kwenye njia za pua na koo, uharibifu huu unaweza kusababisha matatizo ya allergy, na asthma.
 
Kwa kuwa Haina Ladha kama ya sigara, watu wengi (hasa vijana) huona shisha ni mbadala mzuri wa sigara, bangi, na madawa mengine ya kulevya wakihisi haina madhar
 
Hazifutiki milele, swali linakuja je, miaka kadhaa ijayo utaendelea kukipenda kitu ambacho umekipenda leo nakukichora? Mfano, unadhani unakipenda Ulichokuwaukikipenda kufanya miaka 10 iliyopita? Kazi
 
Huharibu muonekano wako katika jamii kwani kuna badhi ya sehemu unaweza usishirikishwe kwa kuonekana hufai katika jamii ile (hasa jamii za Kifrika)
 
Kuchora tattoo ni gharama, kabla ya kujichora tattoo lazima ujipange kwanza ili upate kitu unacho kihitaji kwa gharama sahihi na kuepuka tattoo ya ubora wa chini na kutokuwa na muonekano unaoutaka
 
Ni hatari labda tu uchorwe na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuchora kwani kuna miili ina ‘aleji’ na wino utumikao kuchora tattoo. Yaani eneo ulilochora mchoro wa tattoo, linaweza kudhurika kwa namna mbalimbali
 
Tattoo itakufanya ukose baadhi ya kazi kwani kuna baadhi ya sehemu tattoo huonekana kama ni ukosefu wa nidhamu. Mfano Jeshini, baadhi ya Mashirika ya Kidini nk!
 
Usidhani unajua sana undani kuhusu tattoo kwa kuwa tu uliona watu kwenye tv wakiwa na tattoo na wewe ukatamani kuwa nayo, Hakikisha una elimu ya kutosha kuhusu tattoo unayotaka kuichora ndipo ufanye maamuzi.
 
1.Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi
 
Msukumo Wa Damu
Tangawizi husaidia msukumo wa damu mwilini kwasababu huupa mwili joto ambalo mara nyingi mwili huhitaji wakati wa usukumwaji wa damu mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…