Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaKuondoa Sumu Mwilini
Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na sumu nyingi mwilini.
Duh..Ni hatari labda tu uchorwe na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuchora kwani kuna miili ina ‘aleji’ na wino utumikao kuchora tattoo. Yaani eneo ulilochora mchoro wa tattoo, linaweza kudhurika kwa namna mbalimbali
Vyote ni hatariKwa kuwa Haina Ladha kama ya sigara, watu wengi (hasa vijana) huona shisha ni mbadala mzuri wa sigara, bangi, na madawa mengine ya kulevya wakihisi haina madhar