Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Majukwaa mengine nyodo nyingi halafu mada ni zile zile, dharau na kutukanana watu wamechoka...Majukwa yote yamepoa watu wanataka like [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki yako nimekupa mkuuHuu uzi niliudharau juzi, na ulianza kama mzaha iv ila kwa speed hii ni hatari. Mpaka kufikia wiki ijayo itakua inakimbizana na Makapuku kwa ukaribu sana. Salute kwa alieuanzisha japo kaanzisha kitu cha kijinga sana.
Show love kwa kuulike uzi huu.Huu uzi niliudharau juzi, na ulianza kama mzaha iv ila kwa speed hii ni hatari. Mpaka kufikia wiki ijayo itakua inakimbizana na Makapuku kwa ukaribu sana. Salute kwa alieuanzisha japo kaanzisha kitu cha kijinga sana.
Chukua hizo kiongoziNimekuja kula like nilale zangu
Cha kijinga kikakutana na wajinga. Chukua like ya nguvuHuu uzi niliudharau juzi, na ulianza kama mzaha iv ila kwa speed hii ni hatari. Mpaka kufikia wiki ijayo itakua inakimbizana na Makapuku kwa ukaribu sana. Salute kwa alieuanzisha japo kaanzisha kitu cha kijinga sana.